SCHOLARSHIP

 ðŸ“¢ FURSA KWA WASICHANA WANAOPENDA SAYANSI NA TEKNOLOJIA!


Je, una ndoto ya kusoma kozi za STEM (Science, Technology, Engineering & Mathematics) lakini unakabiliwa na changamoto za kifedha? Hii ni nafasi yako!


Tunawakaribisha wasichana wote wenye sifa kuomba Maliha Women in STEM Scholarship inayolenga kusaidia wanafunzi wenye uwezo kufikia ndoto zao za elimu na kuleta mabadiliko katika jamii.


✅ Ikiwa wewe:

• Unajitambulisha kama mwanamke

• Umechaguliwa au unasoma kozi ya STEM

• Una ari ya kuleta mabadiliko katika jamii

• Unatoka katika mazingira yenye changamoto za kifedha


Basi hii fursa ni kwa ajili yako!


📅 Mwisho wa kutuma maombi: 25 Machi


Usikose nafasi hii ya kubadilisha maisha yako na kufungua milango ya mafanikio.


👉 Tuma maombi sasa kupitia link/QR code iliyotolewa kwenye tangazo.


📩 Kwa maelezo zaidi, wasiliana nasi kupitia:

binaryhorizonsfoundation@gmail.com


APPLY HERE


Comments

Posts

MO SCHOLAR VISIT NGARENARO SECONDARY SCHOOL